Category: MCHANGANYIKO
JKCI yaendelea kuishangaza dunia kwa matibabu ya kibingwa ya moyo
ยท Yaadhimisha siku ya moyo duniani kwa kufanya upasuaji Zambia ยท Yaelekea Geita kufanya uchunguzi wa moyo bure maonyesho ya madini Na Mwandishi Wetu, JakhuriMedia, Dar es Salaam TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeendelea kushangaza mataifa mbalimbali kwa…
Waziri Ridhiwani aongoza kampeni ya kukabiliana na afya ya akili
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete ameongoza ameongoza maadhimisho ya kampeni juu ya kukabiliana na changamoto ya afya ya akili. Shughuli za maadhimisho hayo…
Wakati umefika wa Afrika kubadilika kwa kutumia nishati safi ya kupikia – Rais Samia
๐ Asema Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia inalenga zaidi Wanawake Afrika ๐ Atilia mkazo Taasisi zinazolisha Watu kuanzia 100 kutumia Nishati Safi ya Kupikia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Namtumbo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia…
Waendesha baiskeki kumuenzi Mwalimu Nyerere
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jumuiya ya waendesha baiskeli ijulikanayo kama Twende Butiama imepanga kumuenzi hayati Mwalimu Julius Nyerere kupitia ya Kampeni Kuendesha Baiskeli. Maadhimisho hayo ya kumuenzi hayati Nyerere yanafanyika mwaka huu ikiwa ni msimu wake wa…





