Category: MCHANGANYIKO
FASIHI FASAHA
Watanzania tunakinyanyasa, kukibeua Kiswahili – 4
Nafikiri bila shuruti lugha yoyote ina taratibu na utamaduni wake katika matumizi, kadharika Kiswahili. Kuna lugha ya kaya, rika, fani, hadhi na kadha wa kadha. Lengo langu si kuzungumzia hayo, bali ni kuzungumzia Kiswahili kunyanyaswa na kubeuliwa.
Serikali inajifariji kwa kufunika udhaifu wetu
Kwenye mtandao wa kijamii wa JF, ambao mimi ni mmoja wa wanachama wake, nimekutana na makala fupi, lakini yenye kuelimisha sana.
MiSITU & MAZINGIRA
Uharibifu misitu: Janga linaloiangamiza Tanzania-2
Je, tufanye nini kupunguza ukataji wa miti kwa ajili ya kutengeneza mkaa? Kwanza, walinzi wa misitu wakiwapo hasa katika misitu iliyohifadhiwa kisheria, wataweza kuzuia watu wasiingie na kufanya chochote.
Kiwanda cha Askofu chadaiwa kutiririsha sumu Geita
Kiwanda kidogo cha kuchenjua marudio ya madini ya dhahabu, kilichojengwa kwenye makazi ya watu katika Mtaa wa Kagera mjini Geita, mali ya Askofu wa Kanisa la Habari Njema la Geita, Triphone John, kimesababisha madhara yakiwamo ya kufa kwa mifugo.
Io wapi Simba Arena, ghorofa la kisasa Msimbazi?
Wakati uongozi wa Wekundu wa Msimbazi, Simba Sports Club ya jijini Dar es Salaam unaingia madarakani Agosti 2009, ulitoa ahadi nyingi ambazo wanachama waliwaamini na kujenga imani nao.
Kada wa CCM jangili atajwa
Bunge limeambiwa kwamba kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohsin Abdallah Shein, ni mmoja wa majangili wa kimataifa wanaomaliza tembo hapa nchini.
Shein ametajwa na Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Peter Msigwa.