Category: MCHANGANYIKO
Wananchi watakiwa kuchangamkia biashara ya kaboni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imetoa wito kwa sekta binafsi na wananchi kwa ujumla kuendelea kuchangamkia fursa za uwekezaji katika biashara ya kaboni ili kuinua uchumi na kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti na kuitunza. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu…
TAKUKURU yanasa mali za wakulima za bil.1.4/-
Na Benny Kingson, JamhuriMedia, Tabora TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Tabora imekamata mali za wakulima wa zao la tumbaku zenye thamani ya sh bil 1.4 zilizokuwa zimeibiwa na wafanyabiashara katika vyama vya msingi vya wakulima. Hayo…
Lala salama mwanasiasa mkongwe, hakika nitakukumbuka, Mzee Mustafa Songambele
Na Mohamed Said, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wiki iliyopita imekuwa ya ajabu sana kwangu. Ubongo wangu umekuwa ukishughulishwa na kumbukumbu za watu na mambo mengi ya nyuma nikiwa mtoto mdogo, sijafikia hata umri wa miaka 15 na sijui kwa nini?…
Upatikanaji pembejeo wawanyanyua wakulima Hanang
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Wakulima wa zao la mahindi wilayani Hanang mkoa wa Manyara, wameipongeza Serikali kwa kufanikisha upatikanaji wa pembejeo kwa wakati, hatua iliyochangia ongezeko kubwa la mavuno msimu huu. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakulima hao walisema kuwa utoaji…
Kamati yatembelea mto Kagera ambao ni sehemu ya mpaka wa Tanzania na Rwanda
Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Pamoja ya Wataalamu ya Uimarishaji Mpaka wa Tanzania na Rwanda (JTC) imetembelea eneo la mto Kagera lililopo wilayani Ngara mkoa wa Kagera ikiwa ni sehemu ya mpaka wa kimataifa. Eneo hilo la mto Kagera lililotembelewa…
PIC yaipongeza PPPC kwa kusimamia dhana ya PPP
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimetoa mafunzo maalum kuhusu ubia wa sekta hizo mbili (PPP) kwa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC). Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha…