Category: MCHANGANYIKO
Dk Biteko akutana na balozi wa China nchini Tanzania
✅Akaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian ambapo walizungumza masuala mbalimbali…
TAMWA Zanzibar yakemea udhalilishaji wa watoto kupitia mitandao ya kijamii
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania Zanzibar (TAMWA –ZNZ) kinaiasa jamii kujizuia kurekodi watoto wadogo na kuwaweka katika mitandao baada ya kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji kwani kufanya hivyo ni kuwadhalilisha zaidi. Dkt. Mzuri Issa, ni mkurungenzi…
Naibu Waziri Marryprisca awataka wamanchi kutunza vyanzo vya maji
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Namtumbo NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi Marryprisca Mahundi ambaye pia ni Mbunge wa viti maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amewataka wananchi kutunza vyanzo vya maji na amewaonya baadhi ya watu wanaojihusisha na uharibifu wa mazingira…
Al-Shabab kuondolewa Somalia
Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amesema taifa hilo lina muda wa mwaka mmoja kuliondoa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab Agizo hilo limekuja huku muda wa mwisho wa wanajeshi waliosalia wa kulinda amani wa Umoja wa Afrika kuondoka ukikaribia mwezi…
Wizara yazinadi leseni 441 za utafutaji madini
Miradi ya STAMICO yatajwa London Wizara ya Madini imezinadi Leseni zipatazo 441 za utafutaji wa madini muhimu na mkakati na leseni 46 kwa ajili ya uchimbaji wa madini hayo ambazo ni fursa kwa wawekezaji kwa ajili ya kuingia ubia na…
Serikali yamwaga vifaa tiba vya milioni 222.472/- Singida
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida SERIKALI ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Bohari ya Dawa (MSD) imekabidhi vifaa tiba Mkoa wa Singida vyenye jumla ya takribani Sh.Milioni 222.472. Vifaa hivyo ni pamoja na majenereta,…