JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

CCM yatangaza wagombea wake, baadhi ya vigogo waenguliwa, wasanii, wanahabari wapeta

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, kimetangaza rasmi majina ya wagombea watakaoshiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa nafasi za Ubunge wa Majimbo, Viti Maalum na Ujumbe…

Maadhimisho Siku ya Homa ya Ini Duniani, Waziri Mhagama awataka wananchi kuutokomeza

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea. Waziri wa Afya Jenista Mhagama ameitaka Jamii na wadau hapa nchini kuungana na Serikali katika mapambano dhidi ya homa ya Ini ili kuweza kuutokomeza ugonjwa huo kama ilivyo dhamira ya Serikali. Akizungumza katika Maadhimisho siku…

TCCIA yawekeza katika mifumo ya kidijitali utoaji huduma ikiwemo cheti cha uasilia wa bidhaa 

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), kupitia Rais wake Bw. Vicent Minja, imefungua mlango wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mifumo ya utoaji huduma zake kidijitali ikiwemo utoaji wa Cheti cha Uasili wa…