JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Diplomasia ya kiuchumi ya Rais Samia yaing’arisha Tanzania

Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Mbeya Diplomasia ya kiuchumi iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ndani na nje ya nchi imesaidia upatikanaji wa Dola za Marekani Milioni 925 kuboresha miundombinu ya elimu. Waziri wa…

Waiomba Manispaa Songea kuharakisha ujenzi soko la Manzese

BAADHI ya wafanyabiashara wadogo waliokuwa wanafanya shughuli zao soko la Manzese A na B katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,wameiomba serikali kupitia Manispaa hiyo kuharakisha ujenzi wa soko jipya ili waweze kurudi na kufanya shughuli zao kama hapo awali. Wafanyabiashara…

‘Tunataka mita za maji vijijini ziwe za malipo kabla ya matumizi’

Harare, Zimbabwe Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi ameongoza timu ya wataalamu kutembelea nchi ya Afrika Kusini na Zimbabwe ili kujifunza namna nchi hizo zinavyoshirikisha sekta binafsi katika kusimamia miradi ya maji vijijini sambamba na utumiaji wa dira za…

Mkenda autaka uongozi Rungwe kujenga chuo cha ufundi

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Wilaya ya Rungwe kutafuta eneo la zaidi ya Hekari 20 kwa ajili ya kuanza ujenzi wa chuo cha ufundi stadi-VETA. Waziri Mkenda ameyasema hayo leo tarehe 7 Agosti 2022…