JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Utekelezaji mradi wa Tanzania ya kidijitali wafikia asilimia 70

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bw. Mohammed Khamis Abdulla amesema utekelezaji wa mradi wa Tanzania ya Kidijitali umefikia asilimia 70 na utekelezaji wake ni wa miaka mitano kuanzia 2021…

Wawekezaji wazawa wajengewe mazingira rafiki kuendana na ushindani nchini-Mhagama

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imedhamiria kuishauri Serikali , kujenga mazingira wezeshi na rafiki kwa wawekezaji wa ndani (wazawa)ili waweze kumudu ushindani katika kuwekeza nchini. Aidha kamati hiyo ,imetoa rai…

Dk Biteko awasili Mbeya kwa ziara ya kikazi

Aeleza jitihada za Serikali kupunguza changamoto ya umeme Aipongeza Mbeya kwa utekelezaji miradi ya maendeleo Asisitiza siasa zisiwagawe wananchi Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko, leo amewasili mkoani Mbeya kwa ziara…

Sekta binafsi ni mdau wa uchumi na maendeleo- Rais Mwinyi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inaiangalia sekta binafsi kwa mtazamo chanya wa kuwa mdau muhimu wa uchumi na maendeleo. Rais Dk.Mwinyi amesema hayo alipofungua Mkutano mkuu…

Hekta 469,000 za misitu hupotea kila mwaka

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Maliasili na Utalii Angellah Kairuki amesema kuwa takwimu za sasa zinaonesha kuwa takribani eneo la misitu lenye ukubwa wa hekta 469,000 kila mwaka linapotea nchini. Amesema ni muhimu pia kwa wadau…