Category: MCHANGANYIKO
Benki yamfitini Mzanzibari
*Ilikataa kumwongezea mshahara, akaomba kazi CRDB akapata *Ilipobaini amepata kazi ikaahidi kumlipa mara mbili asihamie huko *Alielekea kukubali, akabaini ni danganya toto, akathibitisha kuondoka *Utawala wakafanya mbinu, wakamfukuza kazi kwa kosa la kusingiziwa Na Mwandishi Wetu, Zanzibar Benki moja kubwa…
Membe apigilia msumari
‘Katiba mpya, mgombea binafsi havikwepeki’ DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Kachero mbobezi, Bernard Membe, anasema hakuna wafanyabiashara walioumizwa na Serikali ya Awamu ya Nne ikilinganishwa na Serikali ya Awamu ya Tano. Anazungumzia mwenendo wa utawala wa Awamu ya Nne…
Huyu Bernard Membe vipi?
DAR ES SALAAM Na Dk. Boniphace Gaganija Kwa mfululizo, matoleo mawili ya Gazeti pendwa la JAMHURI, Bernard Membe, amekuwa akiwaelezea Watanzania chuki yake dhidi ya Serikali ya Awamu ya Tano na CCM kwa kipindi hicho. Swali langu ni je, hivi…
Atatoka wapi Mzee Mayega mwingine?
DAR ES SALAAM Na Abdul Saiwaad Katikati ya miaka ya 1980, sikumbuki ilikuwa mwaka gani hasa, nilipofahamishwa kwa Paschally Boniface Mayega. Rafiki yangu aitwaye Kamugisha ndiye aliyenitambulisha. Tulikutana Posta Mpya ambapo Mayega alikuwa akifanya kazi Idara ya Mauzo ya Simu….
MWAKA MMOJA IKULU Dk. Mwinyi anavyokataa kufukua makaburi
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Alhamisi Oktoba 29, 2020, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ilimtangaza Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwa mshindi wa nafasi ya Rais wa Zanzibar, kwa ushindi wa asilimia 76.27 ya kura zilizopigwa. Akizungumza baada ya…
Urusi yageuka tishio kwa mataifa mengine
Moscow, Russia Na Mwandishi wetu Vita ya maneno inazidi kupamba moto baina ya mataifa tajiri duniani yakigombea mipaka ya taifa la Ukraine. Hali hiyo imezuka baada ya Urusi kuzidisha vikosi vyake vya kijeshi kwenye mipaka ya taifa hilo, jambo ambalo limewaibua…





