JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mahundi : Tutazifanyia kazi changamoto za ukosefu wa mawasiliano ya uhakika Pemba

Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Pemba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zote kuhusu miundombinu ya mawasiliano zilizobainishwa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb), visiwani…

CUF yawasihi wanachama wake kukipa kura ya ndio ili kitekeleza mimakati ya haki sawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Chama cha Wananchi (CUF) kimefanya uzinduzi wa kampeni zake kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Uzinduzi huo ulifanyikajana Vovemba 2w, 2024 katika mtaa wa Magomeni viwanja vya Soko Bati, Manispaa…

Majaliwa : Tutaendelea kushirikiana na wadau katika kuimarisha sekta ya afya nchini

Na WAF – Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Jamhruri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zitaendelea kushirikiana na wadau pamoja na taasisi zote za…

Naibu Spika Mgeni: Ni lazima kujenga viwanda vitakavyoongeza thamani ya madini

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam IMEELEZWA kuwa ili Tanzania iweze kukufikia azma ya kuwa kitovu cha madini barani Afrika ni lazima kujenga viwanda vitakavyoongeza thamani ya madini. Hayo yameelezwa leo na Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,…

Rais Samia atoa bilioni 24 kutekeleza miradi ya maendeleo Namtumbo

πŸ“Œ Miradi ya kilimo, afya, elimu, imeme na maji yaguswa πŸ“Œ Kapinga asema maendeleo yaliyofanyika yanaonekana wazi; hayahitaji tochi πŸ“Œ Aeleza jinsi Ilani ya CCM ilivyotekelezwa kwa mafanikio kupitia usambazaji umeme vijijini πŸ“Œ Azindua kampeni za uchaguzi wa Serikali za…

Rais Mwinyi awasili uwanja wa ndege wa kimataifa akitokea Zimbambwe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa naΒ  Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimia na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana…