JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Dakika 480 za Obama Kenya

Baada ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, kusafisha njia Kenya kwa ziara ya siku tatu aliyoifanya mwanzoni mwa mwezi huu, imethibitika kuwa Rais Obama atatua Nairobi kwa ulinzi mkali na kufanya ziara ya saa 8 tu….

JWTZ wacharuka

Baada ya kundi la waasi la Allied Democratic Forces (ADF) kuua askari mahiri wawili wa Tanzania, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) sasa limetangaza mkakati mzito wa kusambaratisha kundi hilo. Habari za uhakika kutoka ndani ya JWTZ zinasema…

Msigwa amgeuka Nyalandu

Wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ikitarajiwa kumwita kwa mara ya tatu Waziri wa Maliasili na Utalii kujadili mipango ya bajeti yake, ‘swahiba’ wake, Mchungaji Peter Msigwa, amemgeuka.   Mchungaji Msigwa, Waziri wa Kivuli wa wizara hiyo, ameshtushwa na hasara…

Mbowe: Tunaingia Ikulu Oktoba 2015

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anasema; “Rais Jakaya Kikwete na CCM yake wamekwama na atatukabidhi nchi Oktoba.”  Mbowe, ambaye yuko kwenye ziara ya kuimarisha chama katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, anasema kwamba kukwama kwa…

Nape asimamia msimamo Panga CCM liko palepale

Na Angela Kiwia   Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, anasema kwamba kada yeyote atakayepatikana na hatia ya kukiuka maagizo au taratibu za Chama Cha Mapinduzi (CCM), atachujwa tu.   Kadhalika, amesema kwamba kwa watakaokatwa…

JAMHURI latikisa tuzo za Ejat

Waandishi wa habari wa Gazeti la JAMHURI, Deodatus Balile na Victor Bariety, mwishoni mwa wiki iliyopita walijinyakulia tuzo za umahiri wa uandishi wa habari nchini (EJAT), zinazotolewa kila mwaka na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Balile aliongoza katika kundi la…