Category: Siasa
RIPOTI MAALUMU
Majaji ‘vihiyo’ watajwa
*Yumo aliyeshindwa kuandika hukumu miaka minne
*Wengine wagonjwa, hawajawahi kusikiliza kesi
*Yumo Jaji wa Mahakama ya Rufaa asiye na shahada
*Baada ya kubanwa sasa anasoma Chuo Kikuu Huria
*Wengine walikuwa mahakimu watuhumiwa wa rushwa
Wabunge waunga mkono msimamo wa Morocco
Bunge la Tanzania linaunga mkono msimamo wa Morocco katika kupata ufumbuzi wa mgogoro kati ya taifa hilo na taifa la Sahara Magharibi. Mwaka 1975 uliibuka mgogoro wa ndani kati ya Morocco na taifa la Sahara Magharibi linalotaka kujitangazia Uhuru. Mgogoro huu uliofanya Sahara Magharibi kujenga ukuta kama wa Berlin kule Ujerumani, umekuwa na madhara makubwa ndani ya taifa la Morocco.
Malawi waigwaya kipigo JWTZ
* Taarifa za kiintelejensi za Jeshi letu zawaogopesha
* Ndege za utafiti zaondolewa upande wa Tanzania
* Makamanda wasisitiza kuendelea kuulinda mpaka
* Waingereza walipotosha mpaka
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linaendelea kuimarisha ulinzi katika mpaka wa Tanzania na Malawi, licha ya taifa hilo dogo lililopo kusini mwa Afrika kuonyesha nia ya kutotaka kuingia katika vita, lakini pia gazeti la JAMHURI limebaini chimbuko la historia ya upotoshaji katika mpaka wa nchi hizi.
JWTZ wasogea mpakani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Bernard Membe, ameionya Serikali ya Malawi kuhusu mgogoro wa mpaka, katika kile kinachoonekana kuwa Tanzania ipo tayari kuingia vitani endapo itapuuzwa. Wakati Membe akitoa msimamo huo mkali bungeni jana, kuna habari kwamba wanajeshi na vifaa vya kijeshi wameshapelekwa karibu na eneo la mgogoro ajili ya kuimarisha ulinzi.
Dk. Lwaitama: Serikali tatu hazikwepeki
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azavel Lwaitama (pichani), amesema suluhisho pekee la kunusuru Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni kuwa na Serikali tatu.
Dk. Lwaitama alitoa kauli hiyo katika Mazungumzo ya Asubuhi kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaliyoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania na kufanyika katika Hoteli ya Court Yard jijini Dar es Salaam jana.
Serikali yaelekea kukubali hoja ya Waislamu
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaelekea kulikubali ombi la kundi la waumini wa Kiislamu wanaotaka dodoso la dini liingizwe kwenye Sensa ya Watu na Makazi iliyopangwa kufanyika Agosti 26, mwaka huu.
Uamuzi huo ambao umeshawahi kupingwa na Mkurugenzi Mkuu wa NBS, Dk. Albina Chuwa, unatajwa kwamba huenda ukatangazwa hivi karibuni baada ya ngazi ya juu ya uongozi “kutafakari” na kubaini kuwa dodoso hilo haliwezi kuathiri umoja na mshikamano miongoni mwa Watanzania.
- Rais Samia awahimiza wafugaji kushiriki Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo
- Rais Dk Samia akipokea Tuzo ya heshima na shukrani kutoka kwa mwenyekiti wa wafugaji
- Rais Dk Samia akizindua Mpango wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo Simiyu
- Rais Dk Samia akihutubia viongozi mbalimbali, wafugaji Bariadi
- Shamrashamra za uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo Simiyu
Habari mpya
- Rais Samia awahimiza wafugaji kushiriki Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo
- Rais Dk Samia akipokea Tuzo ya heshima na shukrani kutoka kwa mwenyekiti wa wafugaji
- Rais Dk Samia akizindua Mpango wa Chanjo na Utambuzi wa Mifugo Simiyu
- Rais Dk Samia akihutubia viongozi mbalimbali, wafugaji Bariadi
- Shamrashamra za uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo Simiyu
- Wananchi Dodoma wanufaika na elimu ya madini katika maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
- Rais Samia atembelea mradi wa REA Simiyu
- Benki ya Akiba Commercial Plc ACB yashirikiana na Chuo cha TIA kupanda miti 1,500
- Bei ya kujaza gesi (LPG) kwa matumizi ya kupikia ni himilivu-Kapinga
- Wazazi waipongeza GEL kwa elimu kuhusu fursa za masomo nje ya nchi
- Rais Dkt. Samia awataka wakulima wa pamba kukaa mguu sawa
- TPA yazindua zoezi la ukaguzi wa malori yanayohudumia bandarini
- Rais Samia apeleka neema ya maji Kasulu
- Mashindano ya Taifa kuogelea kwa vijana yaendelea kuibua vipaji vipya
- Rais Samia afungua Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu