Category: Siasa
HOTUBA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
DIRA YA WIZARA:
Kuwa na uhakika wa milki za ardhi, nyumba bora na makazi endelevu kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
DHIMA:
Kuweka mazingira yanayofaa kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma za ardhi, nyumba na makazi
Wapinzani wachekelea Pinda kugwaya
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imeeleza kufarijika na kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kampuni ya Agrisol haijapewa ardhi ya Katumba na Mishamo mkoani Katavi.
Sasa umefika wakati wa vitendo-Tibaijuka
[caption id="attachment_195" align="alignleft" width="160"]
Profesa Anna Tibaijuka[/caption]Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesema kuanzia sasa inachofanya ni vitendo tu katika kukabiliana na wavunjifu wa sheria za ardhi, wakiwamo wavamizi wa maeneo yasiyoruhusiwa kujengwa.
Tibaijuka anguruma
[caption id="attachment_191" align="alignleft" width="189"]
Profesa Anna Tibaijuka[/caption]*Akomesha viji-zawadi vya wawekezaji
*Wananchi kumiliki hisa kwenye ardhi
*Kigamboni kujengwa kwa trilioni 16
HATIMAYE Serikali imeridhia kufanya mabadiliko makubwa kwenye umiliki wa ardhi kwa kuwabana wawekezaji wanaojitwalia ardhi kubwa kwa kutoa viji-zawadi vidogo vidogo kwa halmashauri, vijiji na wananchi.
Dozi ya Magufuli kwa viongozi wenzake
Suala la Dar es Salaam ni “very complex” na mimi nataka niwe muwazi na nataka nizungumze kwa ukweli. Ujenzi wa barabara za Dar es Salaam zina matatizo sana .
Habari mpya
- Dk Muyungi asisitiza ujenzi wa jengo la OMR, Mtumba Dodoma
- Tanzania yashika nafasi ya nne kwa uwekezaji sekta ya madini Afrika
- NIDA yaongeza mashine, siku za usajili Mbeya
- Migogoro ya mahusiano bado ni changamoto- CRC
- Rais Samia kuifugua Rukwa kimiundombinu
- Dk. Gwajima awahimiza wananchi kuupokea na kuulinda mradi wa pamoja kwa ustawi wa jamii
- Soma Gazeti la Jamhuri Machi 10-16, 2026
- Wataalam wa fedha SADC wajadili vyanzo vya kuongeza bajeti
- UN yaipongeza Tanzania kwa juhudi za kurejesha amani, kuimarisha taasisi za kidemokrasia
- Wanawake Manyara wawatunuku tuzo maalum ya kutambua mchango wa RC Sendiga, Ras Muhaji
- Tuzo ya Korani ya kimataifa yaiva
- Dk Mwigulu : Serikali inatambua uwepo wa watumishi wachapakazi
- Serikali yasisitiza matumizi ya PPP kuchochea maendeleo ya taifa
- Zanzibar yaweka mikakati kuvuna maji ya mvua
- Dk Akwilapo akabidhi baiskeli 10 kwa wenye ulemavu Masasi
Copyright 2025



