Category: Siasa
Hospitali ya Jeshi Lugalo kupandishwa daraja
Serikali imeaanza mipango ya kuipandisha Hospitali Kuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo, kuwa Hospitali ya Rufaa, Bunge limeelezwa.
HOTUBA YA WAZIRI WA UJENZI
UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, baada ya Bunge lako Tukufu kupokea taarifa iliyowasilishwa leo hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako tukufu likubali kupokea, kujadili na kupitisha Mpango wa Maendeleo na Makadirio…
Vigogo wa bilioni 300 wakalia kuti kavu
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema vyombo vya dola vimeanza kuchunguza taarifa za kuwapo kwa zaidi ya Sh bilioni 300 zilizofichwa katika benki nchini Uswisi.
Pinda ameliambia Bunge kuwa Serikali imepata taarifa hizo kupitia vyombo vya habari, na kwamba tayari wameanza uchunguzi na baadaye watatangaza matokeo.
Kashfa uporaji ardhi kubwa…
Pinda ahusishwa
*Mmoja wa washirika ajitoa kuepuka aibu
*Ni Chuo Kikuu cha Iowa cha Marekani
*Yabainika wanaleta teknolojia hatari nchini
Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ameendelea kubanwa kuhusu uamuzi wake wa kuwasaidia Wamarekani kujitwalia ekari laki nane za ardhi kwa miaka 99 mkoani Katavi.
Anayetuhumiwa kumteka Dk. Ulimboka azungumza
*Ni Kamanda Msangi anyeongoza Tume ya kuchunza utekaji ulivyotokea
*Ujumbe wasambazwa kuwa ndiye alimpora simu ya mkononi na ‘wallet’
*Yeye asema amekatishwa tamaa, Professa Museru aeleza alichosikia

Askari anayetuhumiwa kumteka Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, Kamishna wa Polisi Msaidizi (ACP), Ahmed Msangi, amehojiwa na kuzungumzia kilichotokea kuhusiana na tuhuma kwamba aliambiwa arejeshe simu ya mkononi na pochi ya Dk. Ulimboka.
Habari mpya
- Tanzania yashika nafasi ya nne kwa uwekezaji sekta ya madini Afrika
- NIDA yaongeza mashine, siku za usajili Mbeya
- Migogoro ya mahusiano bado ni changamoto- CRC
- Rais Samia kuifugua Rukwa kimiundombinu
- Dk. Gwajima awahimiza wananchi kuupokea na kuulinda mradi wa pamoja kwa ustawi wa jamii
- Soma Gazeti la Jamhuri Machi 10-16, 2026
- Wataalam wa fedha SADC wajadili vyanzo vya kuongeza bajeti
- UN yaipongeza Tanzania kwa juhudi za kurejesha amani, kuimarisha taasisi za kidemokrasia
- Wanawake Manyara wawatunuku tuzo maalum ya kutambua mchango wa RC Sendiga, Ras Muhaji
- Tuzo ya Korani ya kimataifa yaiva
- Dk Mwigulu : Serikali inatambua uwepo wa watumishi wachapakazi
- Serikali yasisitiza matumizi ya PPP kuchochea maendeleo ya taifa
- Zanzibar yaweka mikakati kuvuna maji ya mvua
- Dk Akwilapo akabidhi baiskeli 10 kwa wenye ulemavu Masasi
- Prof. Kabudi aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa mawaziri wa Mambo ya Nje ya Jumuiya ya Madola
