Category: Siasa
SAU kushughulikia changamoto ya maji ikishinda uchaguzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Mgombea kiti cha Urais kupitia chama cha Sauti ya Umma(SAU),Majalio Kyara,amesema endapo chama hicho kitashika dola katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,mwaka huu,jambo la kwanza atahakikisha kila mtanzania anafikiwa na maji na huduma hiyo…
ACT Mabale yaahidi bima ya afya kwa wazee na wajane
Na Theophilida Felician, JamhuriMedia, Kagera Mgombea udiwani kupitia tiketi ya ACT WAZALENDO kata Mabale jimbo la Misenyi mkoani Kagera Mhandisi Sweetberty Kaizilege Jonh amewaahidi bima ya afya kundi la wazee na wajane ili kuwasadia kupata matibabu bure. Mgombea Sweetberty ameyabainisha…
Makonda : Tafakari kwanza kabla ya kupiga kura Oktoba 29
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema kuwa wakati wa kupiga kura Oktoba 29, wananchi wanapaswa kutafakari mambo yaliyoko katika maeneo yao na kuchagua chama chenye uwezo wa kuyatekeleza kwa mujibu wa…
ACT -Wazalendo Zanzibar yazindua ilani, yataja sera nne zitakazoinusuru Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo ,Othman Masoud Othamn amezindua rasmi Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar kwa mwaka 2025 -2030 huku akihaidi kurejesha imani kwa Wazanzibar kwa kuweka mbele…
Katibu Chadema Mwanza ajiunga CCM
Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mkoa wa Mwanza, Boniphace Mkoaba ameamua kukihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mkoba amepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk Asha Rose Migiro mbele ya mgombea urais wa…