JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Nyasa yazizima,John Nchimbi achukua fomu kugombea ubunge

-Mamia wamsindikiza kwa ngoma, vifijo na nderemo -Aaahidi kushirikiana na watia nia wote kuijenga Nyasa -Awataka Wananchi kuunga mkono juhudi za kuleta maendeleo Na Byarugaba Innocent, Nyasa DC Mapema leo Agosti 26, 2025 mgombea Ubunge Jimbo la Nyasa kupitia Chama…

Queen Lugembe aingia mbio za kuwania Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya ACT-Wazalendo

Dar es Salaam, Agosti 24, 2025 – Mwanaharakati na kada wa ACT-Wazalendo, Queen Julieth William Lugembe, leo amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Ubungo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo katika…

Mpina : Ninaifahamu kwa kina mizigo ya Watanzania nakwenda Ikulu kuitatua

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema anaifahamu kwa kina mizigo ya Watanzania, ikiwemo changamoto za kilimo, ufugaji, biashara, uchimbaji madini, bodaboda na kusisitiza kuwa amedhamiria kuyatatua mara atakapochaguliwa. Akizungumza…

Shani achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Chamanzi kwa tiketi ya AAFP

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Mgombea wa Jimbo Jipya la Chamanzi kwa Tiketi ya Chama cha Wakulima AAFP Shani Kitumbua amewaomba Wananchi ridhaa ya kumchagua nafasi aliyoimba kwani atakwenda kutatua kero ikiwemo kuisemea barabara ya Kilungule ambayo ni Mbovu,uchache wa…

Ndonge Mguu ndani kinyang’angiro ubunge Jimbo la Mbagala

Na Magrethy Katengu,JamhuriMediaDar es Salaam Mgombea Ubunge Jimbo la Mbagala kupitia Chama Cha Wakulima(AAFP) Ndonge Said Ndonge amesema kwamba endapo Wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao,atashughulikia kero zote za Mbagala ikiwemo mradi wa fremu anaodai kuwa umejengwa kwenye hifadhi…