JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Siasa

Dira ya Zanzibar mpya itaongozwa na wananchi -Othman Masoud

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Katika mchakato wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, jina la Othman Masoud Othman, Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, limezidi kushika kasi. Wananchi wengi wanamwona kama kiongozi mwenye maono ya kuibadilisha Zanzibar kuwa nchi ya wananchi…

Mgombea ubunge Jimbo la Morogoro awashauri wananchi kuichagua CUF ili kupata haki za kiuchumi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Nyambi Athuman ambaye ni mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), ambapo CUF inaamini katika falsafa ya ‘Haki Sawa kwa Wote’ itahakikisha kila mwananchi anapata haki zake za…

Nyamka awashauri wananchi kuchagua mafiga matatu CCM, asisitiza ni msingi wa maendeleo

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, Mwalimu Mwajuma Nyamka, amewaasa wananchi wa Kata ya Pichandege kuhakikisha wanachagua mafiga matatu kutoka CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025,huku akisisitiza kufanya hivyo ni msingi…

Dk Biteko aeleza miaka 10 ya mapinduzi ya maendeleo Bukombe

 Ataja sababu za kumchagua Dkt. Samia  kwa kura nyingi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa kwa Serikali ya CCM inayoongozwa na Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya jitihada…

Jenista Mhagama : Serikali kuanza kutoa mikopo ya kilimo kwa vijana

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Jenista Mhagama ambaye ni mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM)Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma amesema Serikali kupitia Wizara ya kilimo itaanza kutoa mikopo ya kilimo kwa vijana, wenye lengo la kuwainua kiuchumi…

Dk Nchimbi atinga Jimbo la Lupembe Njombe

Picha mbalimbali za matukio ya mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia wananchi wa Jimbo la Lupembe, waliohudhuria mkutano wake mdogo wa hadhara wa kampeni…