Category: Siasa
Tuhuma za Rushwa Zamkuta Mwenyekiti UVCCM Dodoma
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Dodoma inamshikilia Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Sadifa Juma Khamis kwa tuhuma za kugawa rushwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi. UVCCM leo Jumapili Desemba 10,2017…
CHADEMA: Uhamuzi wa Magufuli ni wa Utekerezaji Ahadi Yetu
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimempongeza Rais John Magufuli kwa kutekeleza ahadi zilizotolewa na mgombea urais wa chama hicho, Edward Lowassa ikiwemo ya kuwaachia huru wanamuziki Nguza Viking na Johnson Nguza ‘Papii Kocha’. Taarifa iliyotolewa jana Jumamosi na chama…
Msigwa, Mtolea Watoa Sababu ya Wapinzani Kuhamia CCM
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amesema wanasiasa wanaohama kutoka vyama vya upinzani kwenda CCM, wanafanya uamuzi huo kutokana na uoga. Msigwa amesema hay oleo Ijumaa wakati akihojiwa katika kipindi cha Morning Trumpet kilichorushwa na televisheni ya Azam akiwa…
Lijualikali na Kiwanga Wapata Dhamana
Mahakama ya Hakimu Makazi Morogoro imewaachia kwa dhamana wabunge wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) leo Disemba 7. Wabunge hao walioachiliwa ni Peter Ambrose Lijualikali ambaye ni Mbunge wa Kilombero na Susan Limbweni Kiwanga ambaye ni Mbunge wa…
ACT – Wazalendo Wapata Pigo Jingine
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na liyekuwa mweyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, Mama Anna Mgwira ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi. Anna Mgwira ametangaza uamuzi wake huo, leo katika Mkutano Mkuu wa umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania…
Polisi wa Israel Yawajeruhi Wapalestina Zaidi Ya 30 Ukanda wa Gaza
Vurugu zimeendelea huko ukanda wa gaza na ukingo wa magharibi ambapo zaidi ya wapalestina thelathini wamejeruhiwa katika makabiliano na polisi wa Israel Hii ni kufuatia Rais Donald Trump kutangaza kuutambua mji wa Yerusalemu kuwa mji mkuu wa Israel. Wakati huo…