Category: Siasa
Mtulia Akabidhiwa Kadi Ya CCM
ALIYEKUWA Mbunge wa Kinondoni kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia amekabidhiwa rasmi kadi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mapema leo katika ofisi za chama hicho. YALIYOSEMWA NA ALIYEKUWA MBUNGE WA KINONDONI KUPITIA CUF MAULID MTULIA MARA BAADA…
Chadema Yakanusha Kuhusu John Mnyika Kujivua Ngwamba
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekanusha taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuwa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika amejivua uanachama wa chama hicho. Disemba 3 kuanzia majira ya alasiri zilianza kusambaa taarifa zinazodai kuwa mbunge huyo amekihama chama hicho…
Steve Nyerere Amtolea Povu Polepole, Wema Kurejea CCM
Muda mfupi baada ya Wema Sepetu kutangaza kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM), chama hicho kimesema hakina taarifa rasmi kuhusu Wema kutaka kurudi. Hayo yamesema na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram…
WEMA: Jamaani Kule Nimeshindwa Sasa Narudi Nyumbani
“Siwezi Kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani.” Maneno hayo yameandikwa na muigizaji Wema Sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram akitangaza uamuzi wake wa kuhama Chama…
Katibu wa CHADEMA Manyara Arejea CCM
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Simanjiro, Mkoa wa Manyara, Meshack Turento ametangaza kujivua wadhifa huo na kujiunga na Chama cha Mapinduzi akidai chama hicho (CHADEMA) imewatelekeza. Akizungumza jijini Arusha Turento alidai kuwa, kabla ya kujiunga…
Samia Suluhu Amtembelea Tundu Lissu Nairobi Hospital
MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Novemba 28, 2017 amemtembelea na kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu aliyelazwa Hospitali ya Nairobi. Samia amtembelea Lissu baada ya kumalizika kwa hafla ya kumwapisha Rais Uhuru Kenyatta kuwa…