Mandhari ya Hospitali Anapotibiwa Tundu Lissu

Hospitali ya Chuo Kikuu cha Leuven, nchini Ubelgiji ambako Mbunge Tundu Lissu anaendelea na awamu ya tatu ya matibabu yake, baada ya kushambuliwa kwa risasi mjini Dodoma. Leuven ni moja ya hospitali mashuhuri barani Ulaya. Ilianzishwa mwaka 1080 na kuanza kufundisha mwaka 1426.

Eneo la ndani ya Hospital
Miongoni vya Vyumba vya ndani ya Hospitali hiyo
Mazingira ya eneo la hospitali kwa nje

Vyumba vya Maabara ya Hospital hiyo