JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Biashara

NMB yakabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10 kwa serikali

Dodoma. Benki ya NMB jana ilikabidhi gawio la Shilingi Bilioni 10.17 kwa serikali kutokana na faida iliyopatikana mwaka 2017. Pesa hizo ni sehemu ya jumla ya Shilingi Bilioni 32 ambazo ziliidhinishwa na mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa wa Benki…

AZANIA BANK YAWAKUTANISHA WAFANYABIASHARA DAR ES SALAAM

Maofisa wa Benki ya Azania wakiwa wamepozi kwa picha kabla ya kuanza kwa mkutano uliondaliwa na TCCIA kwa ajili ya wafanyabiashara kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji.  Mkutano huo ulidhaminiwa na benki hiyo.  Washiriki wa mkutano wakijadiliana jambo.  Wadu wa sekta…

WAKULIMA 2000 WAONGEZA KIPATO KWA UJENZI WA DARAJA LA MIVARF

Wakulima 2000 kutoka vijiji sita vya, Kata ya Kiru Wilayani Babati wameongeza kipato kutokana na ujenzi wa daraja lililojengwa na Mradi wa Miundombinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za kifedha Vijijini (MIVARF), ikiwa ni sehemu ya malengo ya mradi…

JUKWAA LA WANAWAKE SOMANGILA, KIGAMBONI, LAZINDULIWA

Wanawake wajasiariliamali wametakiwa kutengeneza au kuuza bidhaa zenya ubora wa viwango vinavokubalika ili kuvutia wateja kununua bidhaa zao na kuongeza masoko ndani na nje ya Nchi.   Hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Uhuru FM Angel Akilimali ambaye alikuwa mgeni rasmi katika…

Benki ya NMB yazindua tawi jipya Kigamboni

Mkurungezi Mtendaji wa Benki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker (kulia) akizungumza kwenye hafla  ya uzinduzi huo. Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Hashim Mgandilwa (wa tatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya NMB Wilaya ya Kigamboni….

UZINDUA WA MUONEKANO MPYA WA GAZETI LA UHURU

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Idara ya Itikadi na Uendezi Humphrey Polepole (wapili kushoto) akifurahia nakala ya gazeti la Uhuru baada ya kuzindua muonekano mpya wa gazeti hilo katika hafla iliyofanyika kwenye Ofisi za Uhuru Publications Limited UPL),…