JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Uchumi

Ruvuma wapokea wawekezaji kutoka Misri

MILANGO ya uwekezaji mkoani Ruvuma imefunguka baada ya wawekezaji kwenye sekta ya kilimo kutoka nchini Misri kuwasili mkoani Ruvuma. Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza katika zao la mahindi ya njano ambapo kwa mwaka wanahitaji mahindi ya njano zaidi ya tani milioni…

Makinda:Asilimia 93.45 za kaya Tanzania zimehesabiwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema hadi kufikia Jumatatu ya Agosti 29, 2022,asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa huku taarifa zilizokwishakusanywa zikionesha kuwa ni asilimia 6.55 za kaya bado hazijahesabiwa. Makinda…

Sillo: Fedha za UVIKO 19 za Rais Samia zimejenga madarasa 78 Babati

Mbunge wa jimbo la Babati Vijijini Mheshimiwa Daniel Sillo, amesema ndani ya kipindi cha miaka miwili akiwa madarakani yapo mambo mengi ambayo yamefanywa na serikali katika jimbo hilo na bado mipango inaendelea. Mheshimiwa Sillo ambaye pia ni mwenyikiti wa kamati…

Tanzania kupokea balozi wa amani duniani

Na Grace Semfuko,JamhuriMedia Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa ujio wa Balozi wa Amani Duniani na Kiongozi wa kidini kutoka nchini India Bw. Gurudev Sri Sri Ravi Shankar…

NBS yaweka wazi Rais atakavyohojiwa siku ya Sensa

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imetangaza utaratibu ambao utatumika kuwahoji viongozi wa kitaifa wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, katika Sensa ya watu na makazi, Agosti 23, mwaka huu. Taarifa iliyotolewa na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dk. Albina Chuwa,…

Viongozi Kata ya Mchikichini watoa elimu ya Sensa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mussa Azan Zungu ambaye pia ni mbunge wa Ilala amewaasa Watanzania kushiriki kikamilifu Sensa ili kutimiza lengo la Serikali kupata takwimu za msingi za watu na hali za makazi ambazo…