JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Rais Mwinyi: Tunadhibiti wizi wa fedha za umma

UNGUJA Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema hatua za serikali zinazochukuliwa dhidi ya wizi wa fedha za umma ni juhudi za makusudi katika kuhakikisha zinapokusanywa zinawafaidisha walio wengi badala…

Amuua mama, atoweka na mtoto

SHINYANGA Na Antony Sollo Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Rahim Mwita mkazi wa Sarawe mkoani hapa, anadaiwa kumuua mkewe, Monica Lucas, kisha kutokomea kusikojulikana na mtoto wa mama huyo ajulikanaye kwa jina la Prince. Ndugu wa mama huyo, Mabula…

Kilichowaponza mawaziri

*Baadhi waliacha kazi wakawaza urais 2025, Kalemani bei ya mafuta yamponza *Rais Samia aanza kufumua mtandao masilahi, apanga watumishi wa wananchi  *Shibuda: Rais amepata gari la tani 100, magari ya tani tano yampishe *ACT Wazalendo: ‘Rais Samia Suluhu amechelewa kufanya…

NIDA inavyoliwa

*Yakwama kutoa Vitambulisho vya Taifa kwa wakati *Mabilioni ya fedha za tozo yaachwa bila kukusanywa   *Ukarabati wa magari, mitambo haujafanyika bila sababu *Mkuu Kitengo cha Mawasiliano asema: ‘Hatuna majibu’ DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa…

PENTAGON Wizara ya Ulinzi Marekani iliyopitia  misukosuko mbalimbali ya kigaidi

• Ni jengo lenye ofisi nyingi kuliko lolote duniani • Limeenea kwenye eneo la hekta 29 • Hutoa huduma za simu zipatazo maili 100,000 • Posta za jengo hilo hupokea barua zaidi ya 100,000 kila siku  • Ni jengo lenye…

Wafukuzwa kazi kwa mgomo Mwendokasi

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Sinohydro wanaojenga barabara ya mabasi yaendayo haraka kutoka Kariakoo hadi Mbagala wamefukuzwa kazi huku wengine wakirejeshwa licha ya kufanya mgomo wiki iliyopita wakishinikiza kulipwa fedha za usafiri, chakula…