Category: Kitaifa
Benki yazidisha uonevu kwa wafanyakazi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Baada ya gazeti hili la uchunguzi kuchapisha taarifa za benki moja nchini zinazoeleza kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo ana dharau, ananyanyasa na kufukuza wafanyakazi hovyo bila kuheshimu sheria za kazi wiki mbili…
Iwe shuruti kuufanya ukimwi kuwa historia
Kesho ni Desemba Mosi, siku ambayo imetengwa na kufahamika kimataifa kama ‘Siku ya Ukimwi Duniani’ ambapo kwa Tanzania maadhimisho hayo huratibiwa na Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS). TACAIDS ilianzishwa Desemba 1, 2000 na Rais wa Tatu wa Tanzania, Benjamin Mkapa,…
Tumekubali kusarenda kwa watia mimba
Kumekuwapo mjadala mpana unaohusu nafasi ya wanafunzi wajawazito kurejeshwa kwenye mfumo rasmi wa elimu. Jambo hili limezungumzwa kwa miaka mingi bila suluhu. Si jambo jepesi katika mfumo wa maisha ya Kitanzania, hasa tukizingatia kuwa wapo wahafidhina wasiopendelea mageuzi kwenye mambo…
KISA SH 3,000… Azuiwa kufanya mtihani wa taifa
*Mzazi aja juu, ataka Mkuu wa Shule achukuliwe hatua *Mwenyewe ajitetea, asema sababu ni utoro, utovu wa nidhamu Dar es Salaam Na Aziza Nangwa Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinyamwezi iliyopo Pugu, Dar es Salaam, Sophia Said, amezuiwa kufanya mtihani…
Vigogo 5 wasimamishwa Dar
DAR ES SALAAM NA DENNIS LUAMBANO Vigogo watano wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa ufisadi wa mamilioni ya shilingi. Tayari Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeanza kufanya…
Mnyeti kikaangoni
*Tume ya Haki za Binadamu yabainisha matumizi mabaya ya ofisi *Ashirikiana na mwindaji kuhujumu biashara za mwekezaji *Atuhumiwa kupokea ‘rushwa’ ya visima Uchaguzi Mkuu 2020 *Mwenyewe ang’aka, asema; ‘tusiongee kama wahuni, nendeni mahakamani’ DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hadhi…