JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Serikali yabariki uvamizi wa shamba

MOSHI Na Charles Ndagulla Watu 30 wanadaiwa kuvamia na kuendesha shughuli za kilimo kwenye shamba lenye ukubwa wa ekari 70 katika Kijiji cha Mtakuja, Mabogini, wilayani Moshi. Shamba hilo linadaiwa kuwa mali ya Edward Merishoki, aliyefariki dunia mwaka 1986, sasa…

Anayepata Sh milioni 168 kwa  siku amtishia maisha mbunge 

GEITA Na Antony Sollo  Siku chache baada ya Mbunge wa Sengerema, Khamis Tabasamu (CCM), kuanika kisa cha kutishiwa kuuawa, ni vema tukatafakari kwa kina sababu za kutokea hali hiyo. Akiwa bungeni wiki iliyopita wakati akichangia Bajeti ya Wizara ya Nishati,…

Sabaya gumzo

*Arusha yasisimka, mageti yakifungwa mahakamani *Wananchi wadai mkoa una nuksi ya viongozi vijana *Wadaiwa kuwaangusha waliowaamini, ni masikitiko *Uvumi Makonda kukamatwa watawala mitandaoni ARUSHA Na Hyasinti Mchau Kesi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya,…

Soko la Chifu Kingalu ni ‘bomu’

*Vibanda zaidi ya 200 vyafungwa kwa miezi sita *Biashara yadorora, kisa? Malumbano na Manispaa  Morogoro Na ALEX KAZENGA Kutokuaminiana kati ya baadhi ya wafanyabiashara wa Soko Kuu la Chifu Kingalu na uongozi wa Manispaa ya Morogoro kunatajwa kuwa tishio kwa…

Simbachawene: La Uhamiaji mmepotoshwa

*Wakili Madeleka auliza maswali magumu DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amezungumza na Gazeti la JAMHURI na kusema suala la Uhamiaji kutoa visa feki gazeti limepotoshwa na mtoa habari. Waziri Simbachawene ameliambia JAMHURI…

Mbowe akiri uzembe 2020

TABORA Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kushindwa kwao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana hakukuchangiwa na aliyekuwa mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli pekee, bali ni pamoja…