Category: Kitaifa
Mabilioni ya Samia yazusha hofu
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Watendaji wa serikali na halmashauri za wilaya, nyingi zikiwa ni za pembezoni mwa nchi, wamo kwenye wakati mgumu wakiwaza namna watakavyotekeleza kwa ufanisi maelekezo yaliyotolewa na Serikali Kuu, hasa kwa upande wa ujenzi wa…
Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani
Na Deodatus Balile Kazi hii ya uandishi wa habari moja ya majukumu yake ni kuanika ukweli minong’ono inapotawala katika jamii. Kwa sasa kuna minong’ono mingi. Minong’ono imeanza baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani mkopo wa Sh trilioni 1.3,…
Kusaka kupendwa kumeiumiza nchi
Jiji la Dar es Salaam, na bila shaka majiji na miji mingine, hali ya ustaarabu mitaani imerejea. Mitaa inapitika na thamani kwa waenda kwa miguu imerejeshwa. Bahati nzuri Watanzania wengi ni waelewa. Wapo waliodhani mpango wa kuwaondoa wamachinga katika maeneo…
Wageni, maofisa Tanga Cement mbaroni tena
DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Kampuni ya Tanga Cement PLC imeendelea kutoa malalamiko yake kwa Idara ya Kazi Mkoa wa Tanga baada ya wataalamu saba kutoka Afrika Kusini waliokuja kutoa mafunzo ya uendeshaji mitambo kwa wafanyakazi wao kukamatwa tena…
Mchango wa mlemavu wamng’oa mwenyekiti
MOROGORO Na Mwandishi Wetu Wakazi wa Lukwenzi, Mvomero mkoani Morogoro wamemwondoa madarakani Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Zakaria Benjamin, wakimtuhumu kupoteza fedha za umma, zikiwamo Sh 350,000 zilizotolewa na Maria Costa ambaye ni mlemavu. Benjamin amekuwa akilalamikiwa mara kwa mara kwenye…
Waliomzamisha Sabaya
*Mashahidi wazungumza na JAMHURI, walieleza ya moyoni *Wamsifu Rais Samia kurejesha utawala wa sheria nchini *Wataka wateule wapate fundisho kwani ipo siku yatawakuta *Gazeti la JAMHURI lilikuwa la kwanza kufichua uovu wake DAR ES SALAAM, ARUSHA Na Waandishi Wetu Mashahidi…




