Category: Kitaifa
Ajuza alea mapacha
*Ni Naomi na Sara ambao walipata majanga siku 11 tu baada ya kuzaliwa *Aishi nao chumba chenye giza, bila huduma ya maji, wala lishe bora *Asema hajawahi kuwa na Bima ya Afya, sembuse watoto hao! BUKOBA Na Phinias Bashaya Naomi…
Hadhari bidhaa za Kariakoo
DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Moto uliozuka na kuteketeza sehemu kubwa ya Soko la Kariakoo jijini Dar es Salaam huenda ukasababisha athari kadhaa za kiafya kwa Watanzania. Moto huo uliozuka usiku wa Julai 9, mwaka huu, mbali na kuathiri…
Hujuma?
*Mwezi mmoja tu baada ya Rais kutembelea Kariakoo, soko lawaka moto *Ni nembo ya biashara Tanzania, Mashariki na Kusini mwa Afrika *Alama ya kihistoria tangu ukoloni wa Mjerumani, Mwingereza hadi Uhuru *Ofisa Ilala asema: ‘Nyaraka muhimu zipo salama, nyingine zipo…
Bandari ya Bagamoyo itumike kumuenzi JPM
BAGAMOYO Na Mwandishi Wetu Kwa kiasi kikubwa nguzo za uchumi wa Kenya, mbali na utalii, ni kupakana kwa taifa hilo na Bahari ya Hindi na kuifanya Bandari ya Mombasa kuwa lango kuu la biashara kimataifa. Miezi michache iliyopita, Rais Uhuru…
Agizo la Waziri TAMISEMI latekelezwa
GEITA Na Antony Sollo Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe, mkoani Geita limetekeleza agizo lililotolewa na Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), David Silinde, kwa kuwaweka kando kupisha uchunguzi watumishi watatu wa…
Diwani alilia magofu ya Serikali
DAR ES SALAAM Na Alex Kazenga Pamoja na serikali kutilia mkazo ujenzi wa sekondari na vituo vya afya kila kata, Kata ya Minazi Mirefu iliyopo Ilala jijini Dar es Salaam hali ni tofauti. Kata hiyo iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye wakazi…



