Category: Kitaifa
Uchumi unakua kwa kasi – Benki Kuu
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uchumi wa nchi unaendelea kukua kwa kasi pamoja na kuwapo changamoto zinazotokana na kudorora kwa hali ya uchumi wa dunia ambazo zimesababisha kuyumba kwa biashara na uwekezaji duniani. Katika toleo la hivi karibuni la…
Mapato yasaidia kudhibiti deni la ndani la Serikali
Deni la serikali la ndani lilipungua kwa mara ya kwanza mwaka jana katika kipindi cha miaka kumi kutokana na kuongezeka kwa makusanyo ya mapato ya ndani ambayo hivi sasa yamefikia Sh trilioni 1.6 kwa mwezi, JAMHURI limebaini. Takwimu mpya za…
Kashfa NIDA
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inakabiliwa na kashfa nzito inayohatarisha usalama wa nchi kutokana na uamuzi mbovu walioufanya hivi karibuni; uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kashfa hii imetokana na masilahi binafsi, kiburi cha viongozi, kupuuza wataalamu, weledi mdogo wa baadhi…
Ofisa Ardhi wilaya matatani kwa rushwa
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kilimanjaro imemfikisha mahakamani Ofisa Ardhi wa Wilaya ya Hai, Wilbert Mayila, kwa tuhuma za kudai na kupokea rushwa ya Sh milioni moja kutoka kwa ofisa wa jeshi mstaafu ili amsaidie kupata…
Mvua zawatesa wakazi Mkuranga
Mvua kubwa zilizonyesha siku za hivi karibuni zimesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu katika Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani. Barabara kadhaa, madaraja na nyumba za watu vimeharibiwa na mvua hizo, Mkurugenzi wa Wilaya hiyo, Mshamu Munde, amesema wakati akizungumza na JAMHURI…
Shule yapokea msaada wa viti, chumvi
Kampuni ya Neelkanth Salt Limited imetoa msaada wa viti 100 na katoni 300 za chumvi kwa Shule ya Sekondari Shungubweni kama hatua ya kuunga mkono juhudi za serikali kuhakikisha wanafunzi wote waliofaulu mitihani yao ya darasa la saba mwaka jana…