Category: Kitaifa
Waliopigana Vita Kuu ya Pili walia ugumu wa maisha
Chama cha Wazee Waliopigana Vita Kuu ya Pili ya Dunia wameziomba asasi za kiraia kuwasaidia katika mapambano ya kudai haki zao ambazo wangependa wazipate kabla hawajapoteza maisha. Akizungumza na JAMHURI, Katibu Mkuu wa chama hicho, Steven Chacha, amesema wakijitokeza wadau…
Kampuni za simu zawekeza Sh trilioni 6 nchini
Uwekezaji wa kampuni zinazotoa huduma za simu za mikononi umefikia Sh trilioni 6 ambazo zimekuwa na tija kubwa kwa taifa na kuifanya sekta ya mawasiliano kuwa miongoni mwa sekta zinazokua kwa kasi kubwa hapa nchini. Wakati uchumi ukikua kwa asilimia…
Nchi ilivyopigwa
Wizara ya Madini imetoa takwimu za mapato ya madini zinazoonyesha nchi ilivyoibiwa kwa miongo mingi. Waziri wa Madini, Doto Biteko, amesema wakati Serikali ya Awamu ya Tano inaingia madarakani miaka minne iliyopita, mapato yaliyotokana na mauzo ya madini yalikuwa Sh…
Dk. Shein: Tutaendelea kushirikiana na China
Zanzibar imeihakikishia China kwamba itaendelea kuthamini uhusiano na ushirikiano uliopo kati ya nchi hizo mbili pamoja na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC). Hayo yamesemwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, wakati alipofanya mazungumzo na Naibu Waziri wa…
Ufisadi aliouona Muhandiki KCU 1990 Ltd wadhihirika
Misemo ya wahenga ina mengi ya kufundisha, na mingi hutabiri yanayotokea kwenye jamii. Mfano, msemo kwamba panapofuka moshi chini kuna moto, una maana yake. Msemo huo umejionyesha ndani ya Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kagera, KCU (1990) Ltd baada ya mwanachama…
Naibu Waziri acharukia mashamba pori
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, amezitaka idara za Ardhi katika halmashauri nchini kuyabaini mashamba yote yasiyoendelezwa (mashamba pori) na kupeleka wizarani mapendekezo ya kufutwa kwa hati zake. Dk. Mabula amesema hayo wiki iliyopita…