JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Bomu la ardhi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ally, amepata jaribio kubwa kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. “Siku moja baada ya kuingia ofisini, alijifungia ofisini kwake akasema ana shughuli nyingi hivyo…

Bibi mjane Dar amlilia Makonda

Serikali ya Mtaa wa Nzasa Somelo, Kata ya Zingiziwa, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam imetumia hila kumnyang’anya shamba la ekari tatu bibi mjane mwenye umri wa miaka zaidi ya 70. Shamba hilo ambalo limetenganishwa na Mto Nzasa, kipande…

Wadaiwa sugu KCBL waanza kusakwa

Benki ya Ushirika mkoani Kilimanjaro (KCBL) imeanza msako dhidi ya watu binafsi, vikundi vya wajasiriamali na kampuni zinazodaiwa mikopo na benki hiyo baada ya kushindwa kufanya marejesho ndani ya muda kulingana na masharti ya mikopo. Msako huo unafanywa na benki…

JAMHURI kinara tena

Gazeti la uchunguzi la JAMHURI limetwaa tuzo mbili za uandishi bora wa habari (Excellence in Journalism Awards Tanzania – EJAT) kwa mwaka 2018, tuzo zinazotolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Hatua hiyo ni sehemu tu ya mafanikio ya gazeti…

Mwenyekiti CWT adanganya

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Clement Mswanyama, amewadanganya walimu na Watanzania kwa ujumla juu ya umiliki wa mali za walimu, JAMHURI linathibitisha. Hivi karibuni, Mswanyama ameitisha mkutano na waandishi wa habari jijini Dodoma na…

Mhasibu Wizara ya Afya kizimbani

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani Mhasibu wa Wizara ya Afya, Yahaya Athuman (39) akishitakiwa kwa makosa 20 yakiwamo ya kughushi nyaraka na kuisababishia serikali hasara ya  Sh milioni 34 zilizotolewa na serikali mwaka 2014 kwa…