Category: Kitaifa
Kilichong’oa mabosi TAKUKURU
Mchezo wa rushwa aliounusa Rais John Magufuli katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ukabila, ukanda na usiri wenye lengo la kunufaisha watu binafsi na jamaa zao, vimetajwa kumsukuma Mkurugenzi Mkuu mpya wa Takukuru, Diwani Athumani, kufumua mtandao…
Apandishwa kizimbani Moshi kwa udanganyifu
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) imemfikisha mahakamani Mhasibu wa Mapato wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai, John Bogohe, kwa makosa matatu ikiwamo kutumia nyaraka kwa nia ya kumdanganya mwajiri. Mhasibu huyo alifikishwa katika Mahakama ya Wilaya…
NSSF watekeleza agizo la Rais
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeanza utekelezaji wa maagizo ya Rais John Magufuli kwa kuhakiki waliokuwa wafanyakazi wa migodi na ajira za muda mfupi. Akizungumza mwishoni mwa wiki, Meneja Kiongozi wa Matekelezo (Chief Manager Compliance and Data Management), Cosmas…
Siri zavuja Jiji
Siri nzito za mradi wa ujenzi wa kituo kikubwa cha mabasi ya kwenda mikoani eneo la Mbezi Luis zimevuja, zikavuruga watendaji na Baraza la Madiwani wa Jiji la Dar es Salaam, JAMHURI linathibitisha. Baada ya wiki iliyopita gazeti hili kuandika…
Jenerali Waitara atafuta mrithi Mlima Kilimanjaro
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu, Jenerali George Waitara, ametumia maadhimisho ya miaka 57 ya Uhuru kutangaza rasmi kustaafu kupanda Mlima Kilimanjaro. Waitara amekuwa akipanda mlima huo kwa kipindi cha miaka kumi mfululizo. Waitara ametangaza azima hiyo wakati wa mkutano…
Rushwa yavuruga Jiji
Rushwa imevuruga safu ya uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi Mbezi Luis, na sasa viongozi wote wanashikana uchawi, JAMHURI limebaini. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa kiwango cha kuaminiana…