Category: Kitaifa
Dk Biteko amnadi Musukuma, asema amepigania maslahi ya wana-Geita
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma ni kiongozi…
Mgombea udiwani Kata Tandika kwa tiketi ya CCM ahaandi kushughulikia kero ya michango shuleni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaDar es Salaam Mgombea udiwani Kata ya Tandika Uzairu Abdul Athumani kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM amewaahindi wananchi endapo watampatia ridhaa ya kumpa kura za kishindo Oktoba 29,2025 atahakikisha anatatua kero zinazowakabili ikiwemo michango sumbufu…
Kingu awaombea kura za wagombea wa CCM Jimbo la Songea Mjini
Na Cresensia Kapinga, JamuhuriMedia, Songea Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Afya na maswala ya Ukimwi ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Elibariki Kingu, jana amezindua rasmi kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Songea Mjini,…
Kigogo ACT – Wazalendo Kigoma atimkia CCM
Na Kulwa Karedia,Jamhuri lMedia, Kigoma Mratibu wa Kanda Chama cha ACT Wazalendo, Said Rashid, ametangaza rasmi kuondoka na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amesema amefikia uamuzi huo baada ya kuvutiwa na utendaji wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan….





