Category: Kitaifa
UWEKEZAJI WENYE MTAZAMO ENDELEVU WA BIASHARA UTAFANIKISHA MPANGO WA KUJENGA TANZANIA YA VIWAND
Lisa akiwa (kushoto) akiwa na mwenzake katika mpango wa GMT, Raj Chandarana wakipanda mti wilayani Hai katika mradi wa mazingira wa TBL. Lisa (wa pili kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzake wa TBL baada ya kushiriki katika mradi…
MSANII WA DK. SHIKA ATOA VIDEO YA WIMBO
Msanii ambaye anasimamiwa na Dk. Shika A.KA mia 900 itapendeza, Godson ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Relax’ ambao amemshirikisha Beka Flavour, video imeongozwa na Kwetu Studio.
MTANZANIA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA MAREKANI
MMOJA wa wataalam na watafiti wa magonjwa ya akili nchini, Profesa Slyvia Kaaya, ni miongoni mwa watu sita watakaotunukiwa shahada za heshima na Chuo Kikuu cha Dartmouth cha Marekani leo. Prof. Kaaya, wa Chuo cha Sayansi ya Afya…
Jeshi la Zima Moto Yapewa Tuzo ya Heshima
JESHI la Zimamoto na Uokoaji limepokea tuzo ya cheti cha heshima kwa kutambua mchango wao katika kupambana na majanga ya moto na uokoaji hapa nchini kutoka katika Taasisi ya Wazalendo na Maendeleo. Tuzo hiyo imepokelewa na Kamishna Jenerali wa…
Ridhiwani Kikwete Atoa neno Kifo cha Sum wa Ukweli
Kwenye ukurasa wake wa kijamii Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameonesha kuguswa na kifo cha Msanii wa Bongo fleva Sam wa Ukweli,na kushindwa kujizuia na kuandiaka maneno yafuatayo “Innallillah Wainnaillah Rajuun, Nadhani sihitaji kusema mengi ila kumshukuru Mungu Mwenyezi kwa…
TANZIA: Msanii Sam wa Ukweli Afariki Dunia
MSANII wa Bongo Fleva, Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Palestina iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu na mwili wake umehifadhiwa katika Hospital ya Mwananyamala. Taarifa hiyo…