Category: Kitaifa
WADAU WA AFYA MOJA WAJIPANGA KUIOKOA TANZANIA NA MAGONJWA AMBUKIZI
Dunia imekumwa na tishio kubwa la magonjwa ya kuambukiza yanayoweza kusambaa kwa muda mfupi, kusababisha madhara makubwa kwa binadamu, mifugo, wanyama pori na kuleta uharibifu wa mazingira. Tafiti zinabainisha kuwa kila mwaka huibuka magonjwa ambukizi mapya kati ya matano hadi…
Gazeti la Mwananchi Latakiwa kuomba radhi kwa taarifa kuhusu deni la taifa
Serikali ya Tanzania imesema deni la jumla la taifa liliongezeka kwa Sh trilioni 3 katika kipindi cha miezi mitatu kuanzia Desemba hadi Machi mwaka huu. Serikali hiyo imepuuzilia mbali taarifa zilizochapishwa na gazeti moja nchini humo zilizodai kwamba deni la…
Rais Magufuli Atoa Wito kwa Majeshi Yote Nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 17 Mei, 2018 amezindua kituo cha uwekezaji cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kilichopo katika kikosi cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Mgulani…
WAZIRI MKUU: SERIKALI INASIMAMIA ELIMU, NIDHAMU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inasimamia kwa karibu miundombinu ya elimu nchini, malezi na nidhamu ili kuhakikisha kunakuwa na usawa katika ngazi zote. Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha maswali…
MAJALIWA: SERIKALI IPO MAKINI NA AJIRA ZA WAGENI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Seriali ipo makini na ajira za wageni na itaendelea kuhakikisha kuwa Watanzania wanapewa fursa kwanza. Ametoa kauli hiyo leo asubuhi (Alhamisi, Mei 17, 2018) Bungeni mjini Dodoma katika kipindi cha maswali ya papo kwa papo…