Category: Kitaifa
Dk Samia leo kurindima Bukoba Mjini
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo anatarajiwa kufanya mkutano mkubwa wa kampeni mjini Bukoba, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake mkoani Kagera ambayo imepata mwitikio mkubwa wa wananchi….
Othman Masoud aahidi kupitiwa upya fidia za wananchi ujenzi uwanja wa ndege Pemba
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuboresha na kuhakikisha haki za wananchi zinaheshimiwa katika utolewaji wa fidia kwa wale waliopoteza ardhi zao kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa ndege Pemba. Alizungumza hayo…
SAU kushughulikia changamoto ya maji ikishinda uchaguzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Mgombea kiti cha Urais kupitia chama cha Sauti ya Umma(SAU),Majalio Kyara,amesema endapo chama hicho kitashika dola katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,mwaka huu,jambo la kwanza atahakikisha kila mtanzania anafikiwa na maji na huduma hiyo…
ACT Mabale yaahidi bima ya afya kwa wazee na wajane
Na Theophilida Felician, JamhuriMedia, Kagera Mgombea udiwani kupitia tiketi ya ACT WAZALENDO kata Mabale jimbo la Misenyi mkoani Kagera Mhandisi Sweetberty Kaizilege Jonh amewaahidi bima ya afya kundi la wazee na wajane ili kuwasadia kupata matibabu bure. Mgombea Sweetberty ameyabainisha…
Makonda : Tafakari kwanza kabla ya kupiga kura Oktoba 29
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amesema kuwa wakati wa kupiga kura Oktoba 29, wananchi wanapaswa kutafakari mambo yaliyoko katika maeneo yao na kuchagua chama chenye uwezo wa kuyatekeleza kwa mujibu wa…





