Category: Kitaifa
Harbinder Singh Sethi Aondolewa Kwenye Kampuni ya IPTL
Mwenyekiti wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Harbinder Singh Sethi ameondolewa katika nafasi yake ya uenyekiti na bodi ya wakurugenzi wa kampuni hiyo, baada ya kushindwa kuhudhuria vikao vya bodi kwa miezi sita mfululizo tangu…
MTU NA MPENZI WAKE WANG’ATWA NA FISI KICHAKANI
Mtu na mpenzi wake , wakazi wa wilaya ya Igunga, Tabora wameng’atwa na fisi kichakani walipotaka kufanya Mapenzi. katika tukio hilo mwanamke Mwajuma Masanja (37) Mkazi wa kijiji cha Iduguta , alifariki baada ya kushambuliwa viabaya na fisiw huyo huku…
Lulu Abadilishiwa Adhabu, Sasa Atatumikia kifungo cha Nje
Hivi Punde: Muigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebadilishiwa adhabu kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania. Magereza yaeleza kuwa, Lulu atatumikia kifungo cha nje kuanzia sasa
TUNAWATAKIA SIKU YAFURAHA AKINA MAMA WOTE DUNIANI
Leo ni siku ya Mama duniani hivyo Kampuni ya Jamhuri Media inatambua mchango mkubwa uliotokana/ unatokona na Mama hivyo tunaungana na kina mama wote kuwatakia siku yao #Hakuna kama Mama
Jiji la Mbeya Kuwaka Moto, leo kati ya Mbeya City VS Prisons
Ni vita kubwa leo jiji Mbeya, ambapo pale wafalme wawili katika jiji hilo, Mbeya City na Tanzania Prisons. Watakapokutana kwenye mchezo wa ligi kuu kutafuta point 3. Mbeya City wanaingia katika mchezo huo wakiwa wameachwa alama 15 na Tanzania Prisons…
Serikali Yafafanua utakaotumika wa kupima watu UKIMWI kwenye Baa
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema upimaji wa Kifua Kikuu (TB) na UKIMWI kwenye baa hautakuwa wa lazima. Waziri wa Afya ameyasema hayo baada ya kuzuka hofu miongoni mwa wananchi ambapo baadhi ya…