Category: Kitaifa
Tanzia: King Majuto Afariki Dunia
Muigizaji Mkongwe wa sanaa za vichekesho, Amri Athuman maarufu kama King Majuto amefariki dunia jioni ya leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu. Tunatoa pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki pamoja na wadau wa filamu nchini….
Dk Hamisi Kigwangalla Awashukuru Watanzania kwa Maombi yao, Afya Yake Inazidi Kuimarika
Jana ilikuwa siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwagalla, lakini kiongozi huyo aliisherehekea akiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akipatiwa matibabu. Dk Kigwangalla alisherehekea siku yake akitibiwa baada ya kupata ajali mwishoni mwa…
RAIS WA JAMHURI YA UGANDA, YOWERI MSEVENI KUFANYA ZIARA NCHINI TANZANIA 9 AGOSTI 2018
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mheshimiwa Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini tarehe 09 Agosti 2018. Lengo la ziara hiyo ni kuimarisha ushirikiano na ujirani mwema uliopo kati ya Tanzania na Uganda. Mara baada…
RAIS MSTAAFU MKAPA MGENI RASMI KILELE CHA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE 2018 SIMIYU
RAIS mstaafu Mhe. Benjamini Mkapa leo Agosti 08, atakuwa Mgen Rasmi katika Kilele cha Maonesho ya Sherehe ya wakulima Nanenane Kitaifa mwaka 2018, ambayo yanafanyika katika Uwanja wa Nyakabindi Halmashauri ya Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu. Akizungumza na vyombo vya…
TUNDU LISSU ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALINI
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka hospitalini alipolazwa kuanzia leo ataishi nyumbani. Tangu Septemba 7 mwaka jana aliposhambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 jijini Dodoma, Lissu amekuwa akiishi hospitalini kwa matibabu zaidi. Ujumbe wa Lissu alioutoa leo…
CCM wachukua fomu kumrithi Majimarefu Korogwe Vijijini
Wanachama 44 wa CCM wamejitokeza kuwania ubunge jimbo la Korogwe Vijijini. Wanacham 47 walichukua fomu hizo na 44 kati yao akiwamo mtoto wa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Thomas Ngonyani wamerudisha fomu hzo. Jimbo hilo lilikuwa likiongozwa na Stephen Ngonyani…





