Muigizaji Mkongwe wa sanaa za vichekesho, Amri Athuman maarufu kama King Majuto amefariki dunia jioni ya leo katika hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa anapatiwa matibabu.

Tunatoa pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki pamoja na wadau wa filamu nchini.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen.

Please follow and like us:
Pin Share