JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AFUNGUA MKUTANO WA WADAU KUJADILI JINSI YA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA FIDIA KWA WAFANYAKAZI

SERIKALI ilianzisha Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi kwa lengo la kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanapata mafao bora na stahiki ya fidia tofauti na sheria ya zamani iliyotoa viwango vya chini vya fidia, lakini pia kuwawezesha waajiri kupata muda zaidi kushughulikia masuala…

WATAFITI WA KODI AFRIKA WAJENGEWA UWEZO

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Michael John akimkabidhi mshiriki kutoka Tunisia Bw. Jabali Belhanssen cheti cha ushiriki wa mafunzo ya utafiti ambayo yafanyika jijini Dar es Salaam kwa ushirikiano wa Taasisi ya…

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally Awashauri Wafanyabiashara

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar, Amina Ally amewashauri wafanyabiashara wa Zanzibar kuwa wabunifu katika biashara zao ili kuongeza thamani ya biashara zao jambo litakalosaidia kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja na Zanzibar kwa ujumla. Waziri Amina aliyasema hayo…

Mzee Jakaya Kikwete Akiwa Mlimani City Pamoja na Wajukuu Zake

Jana Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete alitembezwa na wajukuu zake kwenye maduka ya kununulia vifaa vya kuchezea watoto katika madukaa ya Mlimani City lililopo jijini Dar es Salaam “Leo ilikuwa zamu ya wajukuu zangu kunitembeza babu yao na safari yetu iliishia…

ESTER BULAYA ASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI DAR

Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, inamshikilia Mbunge wa Bunda, Esther Bulaya baada ya kuripoti katika kituo kikuu cha Polisi na viongozi wenzake wa CHADEMA, kama walivyoamriwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Tahadhari kwa Mikoa Hii Itakumbwa na Mvua Kubwa

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya uwepo kwa vipindi vya mvua kubwa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo usiku mpaka Aprili 16, mwaka huu. Mikoa iliyotajwa kuwa na vipindi vya mvua kubwa…