Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Viongozi Wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama vya Ushirika kutoka Mikoa inayolima Kahawa. Kikao hicho kulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 19, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama na kulia ni Waziri wa Kilimo , Dkt. Charles Tizeba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao kati yake na Viongozi Wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama vya Ushirika kutoka Mikoa inayolima Kahawa . Kikao hicho kulifanyika kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya washiriki wa kakao cha Viongozi Wakuu wa Wizara ya Kilimo, Mrajis wa Vyama vya Ushirika, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa, Wakuu wa Mikoa na Viongozi wa Vyama vya Ushirika kutoka Mikoa inayolima pamba wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 19, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Please follow and like us:
Pin Share