Category: Kitaifa
MAMA MJEMA ATINGA BUGURUNI KUJIONEA BOMBA LA GESI LILOPASUKA
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, amewataka wananchi waliokumbwa na athari ya moto iliyotokea janausiku baada ya kupasuka kwa bomba la kusafirishia gesi, kuwa na subira wakati serikali ikijaribu kutafuta chanzo cha moto huo. Amesema wananchi wanaofanya shughuli za…
Mrisho Gambo Atema Cheche baada ya Lowassa kwenda Ikulu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na MAendeleo, Freeman Mbowe na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema wanamuonea wivu Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa kwa kupata nafasi ya kuongea na…
WANANCHI WA LIWALE NA NACHINGWEA WALILIA BARABARA
Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akionesha Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa watendaji wa Wilaya ya Liwale (hawapo pichani), ambapo utekelezaji wa miradi yote ya barabara hapa nchini umeanishwa humo wakati alipowatembelea kuona hali ya mtandao wa barabara katika…
WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA USAFIRISHWAJI WA MBOLEA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na usafirishaji wa mbolea kutoka wa wasambazaji wa pembejeo nchini kwenda kwa wakulima. Pia ameitaka Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC) kuwa na mikakati madhubuti itakayowezesha upatikanaji wa mbolea kwa wakati wote nchini. Ametoa kauli…
HUKUMU YA SCOPION YAPIGWA KALENDA HADI JANUARY 22
Hukumu ya mwalimu wa sanaa ya kujihami ‘martial arts’ Salum Njwete maarufu kama Scorpion, ya kumjeruhi na kumtoboa macho kinyozi Said Mrisho leo ilishindwa kusomwa katika Makahama ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu…
TUNDU LISSU ANENA HAYA BAADA YA LOWASSA KUTINGA IKULU
Baada ya Lowassa kufika Ikulu kumtembelea Rais Magufuli, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amezungumzia kitendo kilichotokea kwa Mh. Lowasa kwenda Ikulu bila makubaliano ya chama(CHADEMA) Nanukuu kutoka kwenye page yake ya Instagram “Naomba na mimi niseme kwa uchache kuhusu…