JUMUIYA YA WAZAZI CCM WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dk. Edmund Mdolwa akizungumza wakati wa kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam. Kikao hicho pamoja na mambo mengine kilitarajiwa kuchagua Wajumbe wa Baraza la Utekelezaji

Kikao kikiendelea

Wajumbe ukumbini

Wajumbe ukumbini

Hali ya ukumbini

Wajumbe ukumbini

Wajumbe ukumbini

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Dk Edmund Mndolwa akiteta jambo na naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya Tanzania Bara kushauriana jambo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Zanzibar Abdallah Haj haidar  na kushoto ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Ame Silima

Wajumbe ukumbini

Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya wazazi Tanzanaia  Zanzibar najma Giga na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Bara Burhan Ruta wakijadili jambo kwenye kikao hicho

Wajumbe ukumbini. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO