Category: Kitaifa
BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU YATANGAZA MSAKO KWA WADAIWA SUGU
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imesema kuanzia Jumatatu ijayo, Januari 8, 2017 itaanza kukagua taarifa za mishahara za waajiri (payroll) ili kubaini waajiri ambao wanawasilisha kiwango kidogo cha mikopo ya wafanyakazi wao ambao ni…
MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA APOKELEWA KWA KISHINDO MWANZA
Mjumbe wa Kamati kuu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Kheri D James kulia akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Ndg:Anthony Dialo mara baada ya kuwasili katika ofisi za Ccm Mkoa wa Mwanza. Mjumbe wa…
SERIKALI YATANGAZA MCHAKATO WA ZABUNI YA UNUNUZI WA VICHWA VYA TREN YA UMEME
Serikali kupitia Kampuni Hodhi ya Reli (RAHCO) imetangaza mchakato wa awali wa zabuni ya ununuzi wa vichwa na mabehewa kwa ajili ya treni ya umeme itakayotumika katika reli ya kisasa (Standard Gauge) ambayo ujenzi wake unaendelea. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa…
MWANAHABARI JUSTINE LIMONGA AAGWA DAR
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamphrey Polepole, ameongoza mamia ya waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa mwanahabari, Justine Limonga iliyofanyika Viwanja vya Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam leo mchana. Akizungumza katika ibada hiyo, Polepole alisema CCM na tasnia…
MFANYABIASHARA AJENGA ZAHANATI YENYE VIFAA VYA KISASA NA KUIKABIDHI SERIKALINI
MFANYABIASHARA na mzaliwa wa Kijiji cha Uchau Kaskazini wilaya ya Moshi Vijijini, Emmanuel Mallya, ameikabidhi serikali zahanati ikiwa na vifaa vya kisasa vikiwamo vitanda vya wagonjwa vinavyotumia nishati ya umeme. Zahanati hiyo inayojukana kwa jina la EB zahanati, imejengwa na mfanyabiashara…
TCRA YASHUSHA RUNGU KWA VITUO 5 VYA RUNINGA HAPA NCHINI
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA, imevipiga faini ya shilingi milioni 60 vituo vitano vya Runinga kwa kurusha taarifa ambazo zinakinzana na kanuni za utangazaji kwa kurusha habari ambayo inasadikiwa kuwa na viashiria vya uchochezi. Vituo vilivyokutana na rungu hilo ni…