JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mtulia Kuwania Ubunge Tena Kinondoni Kupitia CCM

Aliyekuwa Mbunge Kinondoni (CUF), Maulid Mtulia ambaye amehamia CCM ametangaza nia ya kugombea tena ubunge katika jimbo hilo kwa tiketi ya chama hicho tawala. Desemba 2 Mtulia amejiuzulu nafasi ya ubunge, huku akisema amefikia uamuzi huo bila kushawishiwa mtu yeyote…

Mawakili Wapya 80 Waapishwa

ZAIDI ya mawakili 80 wamehitimu mafunzo na kuapishwa kuanza kazi ya kuhudumu kama watetezi wa kisheria katika mahakama mbalimbali hapa nchini huku Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof Ibrahim Juma akitia neno juu ya kuhakikisha wanatumia taaluma yao kusaidia jamii na…

Airtel Yaleta Bando Mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ MPYA

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Bi Beatrice Singano (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari. Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Isack Nchunda akisikiliza kwa makini maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wa habari (hawapo pichani). Viongozi hao wakiwa wameshikilia bango la…

Ukweli Kuhusu Soko la Muhogo China

Sasa mkulima au mfanyabiashara akitaka kuuza au kununua muhogo, ni lazima aelimishwe juu ya masharti hayo ya mkataba. Mwenye dhamana ya kutoa elimu hiyo ni nani? Kwa maoni yangu ni Wizara ya Kilimo ambayo ndio imeingia mkataba na Mamlaka za…

Hizi Ndio Sababu za JWTZ kwenda DRC

Mei, 2013, aliyekuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete aliwaaga wapiganaji wa Tanzania waliokwenda DRC kulinda amani dhidi ya waasi wa kundi la M23 Mashariki wa nchi hiyo. Rais Kikwete alimkabidhi bendera kiongozi wa…

ADF waandaliwa ‘kipigo cha mbwa mwizi’ kama cha M23

Ni wazi kuwa siku za kundi la waasi la Allied Democratic Forces (ADF) linaloshutumiwa kwa kuwaua wanajeshi 14 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), sasa zinahesabika. Kundi hilo lipo DRC na Uganda, na limekuwa likiendesha mauaji kwa…