Category: Kitaifa
BENK KUU YAITAKA AIRTEL KUWASILISHA TAARIFA ZAKE ZA KUANZIA 2000
Kufuatia sakata la umiliki wa kampuni ya mawasiliano ya Airtel, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Disemba 28, 2017 iliziandikia benki zote na taasisi za kifedha ambazo zimekuwa zikisimamia akaunti za iliyokuwa Celtel, Zain au Airtel kuwasilisha taarifa hizo. BoT imezitaka…
JESHI LA POLISI KANDA MAALUMU LA DAR ES SALAAM LATOA TATHMINI YA MATUKIO YA UHALIFU MWAKA 2017
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, Lazaro Mambosasa, leo Desemba 29, 2017 limetoa ripoti yake ya matukio ya kihalifu na oparesheni mbalimbali zilizofanywa na jeshi hilo kwa mwaka 2017. Akizungumza na waandishi wa…
POLEPOLE: VIONGOZI WA DINI ENDELEENI KUTOA MAONI
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amesema Askofu Zakaria Kakobe na viongozi wengine wa dini hawajazuiwa kuongea na kwamba wako huru kutoa maoni yao. Polepole ametoa kauli hiyo wakati akihojiwa na kituo kimoja cha…
TUNDU LISSU AKAA MWENYEWE PASIPO MSAADA WA DAKTARI
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo amekaa mwenyewe pasipo msaada wa Daktari katika Hospital ya Nairobi anapopatiwa matibabu , baada ya kushambuliwa kwa risasi nyumbani Area D mjini Dodoma. Hali yake inazidi kumarika siku baada ya siku, ambapo siku…
ZITTO KABWE AANIKA MALI ZAKE MTANDAONI
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe leo ameweka taarifa za mali zake zote zikiwemo, madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo kwa mwaka 2016, kama sheria inavyoagiza viongozi wa umma. Zitto pia ametoa rai kuwa ni vyema Daftari la Rasilimali na…
SERIKALI YAWATAKA WATUMISHI WA UMMA KUWASILISHA MALI ZAO NDANI YA MWAKA HUU
KAMISHNA wa Maadili Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu, Harold Nsekela, amesema sheria ya maadili ya viongozi wa umma kupitia kifungu cha 9 (1) (b) inamtaka kiongozi wa ummma kila ifikapo mwisho wa mwaka kupeleka kwa kamishna…