Category: Kitaifa
Mambosasa: Hatuna Mpango wa Kuendelea na Kesi ya Dk Shika
Lazaro Mambosasa ambaye niKamanda wa Polisi Kanda Maalumu yaDar es Salaam, amesema kesi ya Dk Louis Shika hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba tatu za mfanyabiashara maarufu Said Lugumi alizoahidi kuzinunua zote zipo. Novemba 9, 2017 kampuni ya udalali ya Yono…
MAAGIZO 5 YA WAZIRI MHAGAMA KWA PROGRAMU YA MIVARF KUOGEZA THAMANI YA BIASHARA ZA MIFUGO WILAYANI LONGIDO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira ,Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu ) Mhe.Jenista Mhagama ameielekeza Programu ya Miundo mbinu ya Masoko, Uongezaji wa Thamani na Huduma za Kifedha Vijijini (MIVARF), kuongeza Thamani Biashara za Mifugo…
Waziri Mkuu Akagua Makazi ya Makamu wa Rais
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua matengenezo ya makazi ya muda yanayotarajiwa kutumiwa Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan pindi atakapohamia Dodoma. Waziri Mkuu amefanya ukaguzi huo leo mchana (Jumatano, Desemba 6, 2017) katika eneo la Kilimani, mjini Dodoma…
Mbunge wa Chadema Azungumzia Hali ya Kisiasa kwa Upande Wake
Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Said Kubenea amewataka wananchi wa jimbo lake na nchi nzima kwa ujumla kupuuzia taarifa zinazosambazwa dhidi yake kuhusu yeye kutaka kukihama chama chake. Kebenea amesema kuwa…
Chadema Kukutana, Kuzungumza Yanayoendelea Nchini
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana katika kikao cha dharura, kwa mujibu wa Katiba ya Chama, siku ya Jumatano, Desemba 6, mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Katika kikao hicho cha siku moja, pamoja na masuala…
Mnyika Anena Kuhusu Barua Inayosambaa Mitandaoni
Mbunge wa Kibamba, John Mnyika (CHADEMA) amekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba amejiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu Bara ndani ya CHADEMA Kupitia mitandao ya kijamii imesambazwa barua inayodaiwa ni ya Mnyika ambayo imedai amejiuzulu nafasi yake ili…