JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Kamishna atishiwa kuuawa

Kamishna wa Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Dawa za Kulevya, William Sianga, ametishiwa kuuawa. JAMHURI limethibitishiwa kuwa mfanyabiashara wa madini, Timoth Mwandigo, ambaye ni mkazi wa Kijitonyama, Dar es Salaam anashikiliwa polisi akihusishwa na tishio la kumuua Sianga. Pamoja…

Biashara ya ngozi yaporomoka

Sekta ya ngozi imeendelea kuwa njia panda baada ya wadau wa ngozi kulalamika kuhusu kuharibika kwa ngozi na kukosa wateja, huku Chama cha Kusindika Ngozi nchini kikikabiliwa na uhaba wa ngozi; jambo ambalo linahatarisha uhai wa viwanda. JAMHURI limezungumza na…

Magufuli anakubalika kwa Watanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, wiki iliyopita alidhihirika kukubalika kwa wananchi kupitia utafiti wa Shirika la Twaweza, uliobainisha utendaji wake kukubalika kwa asilimia 71. Utafiti huo uliopewa jina la ‘Matarajio na Matokeo; vipaumbele, utendaji na siasa…

JWTZ waingia Rufiji

Kikosi maalumu cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kimepelekwa katika wilaya za Mkuranga, Rufiji na Kibiti mkoani Pwani, kukabiliana na genge la majahili linaloendesha mauaji ya askari, viongozi na wananchi wasio na hatia. Kikosi hicho kinatajwa kuundwa…

IPTL ‘bye bye’

Kuna kila dalili kampuni ya kufua umeme ya IPTL kutopata leseni ya miezi 55, kama ilivyoomba, kutokana na maombi hayo kuja wakati wananchi wakiwa bado na hasira na kampuni ambayo ilihusika na uchotwaji wa mabilioni ya shilingi katika akaunti maarufu…

Wananchi Kigamboni wasotea umeme

Wakazi wa Manispaa ya Kigamboni, Dar es Salaam, wameulalamikia uongozi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa kushindwa kusambaza umeme kwa wateja wapya, licha ya kulipia huduma hiyo kwa zaidi ya mwaka mmoja uliopita.   Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati…