Category: Kitaifa
Wananchi wampinga mwekezaji
Kumeibuka mgogoro wa ardhi, Wilaya ya Tarime, mkoani Mara kati ya uongozi wa wilaya hiyo na wakazi wa Kijiji cha Bisarwi, kudai kuwa wanataka kupokonywa mashamba yao na kupewa mwekezaji kwa ajili ya kilimo cha miwa na kujenga kiwanda cha sukari….
Zitto anyukwa
Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT), Zitto Kabwe ameangukia pua baada ya kubainika kuwa hoja anayojenga bungeni ni ya “kubumba”, Uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Kwa muda sasa Zitto amekuwa akitoa matamko bungeni na kuandika katika mitandao ya kijamii kuwa ndege ya…
CMA wawapendelea matajiri
Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA), imelalamikiwa kwa vitendo vya rushwa kwa kufanya uamuzi unaoonesha kuwapendelea matajiri wanaolalamikiwa na wafanyakazi wao kwa kutowalipa haki zao na kuwafukuza kazi bila utaratibu. Wakizungumza na JAMHURI kwa nyakati tofauti, wananchi wapatao saba waliofungua…
Dk. Shein ameifanyia Zanzibar mazuri
Ni miaka saba sasa tangu Dk. Ali Mohammed Shein, Rais wa Awamu ya Saba Zanzibar kushika hatamu za uongozi wa Visiwa vya Zanzibar baada ya ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mengi yalisemwa na kuandikwa kuhusu utawala wake utakavyokuwa kabla…
Dk. Shein akomboa elimu Z’bar
Ni jambo lisilokuwa na ubishi kuwa elimu ndicho chanzo muhimu kabisa kitakachomletea maendeleo na ukombozi wa kweli wa mwanadamu, elimu inawatoa wanadamu katika gugu la ujinga. Umuhimu wa elimu umeelezwa kwa kina katika vitabu ya dini na katika vitabu vingine,…
Mgogoro wa ardhi Mtwara
Mgogoro wa ardhi mkoani Mtwara umechukua sura mpya baada ya aliyekuwa Katibu Tawala wa Mkoa huo, Albert Mbila, kujitoa lawamani kwa kusema suala hilo halikuwa na mkono wake. Mbila anatajwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Mgogoro wa Ardhi…