Category: Kitaifa
Wachangia damu hatarini kususa
Wananchi wanaojitolea kuchangia damu kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa, huenda wakakosa morali ya kuendelea kujitolea baada ya kubainika damu wanayochangia inamwagwa kwa kuharibika kutokana na ubovu wa mashine za kupimia sampo kabla…
Waliochota kwenye sandarusi
Mbunge wa Morogoro Kusini, Prosper Mbena (CCM), ametajwa kuwa miongoni mwa walionufaika na mgao wa fedha zilizochotwa kwenye Akaunti ya Tergeta Escrow, JAMHURI limethibitishiwa. Anatajwa kuwa miongoni mwa waliobeba fedha hizo kwenye magunia kutoka benki. Wakati wa mgao huo, Mbena…
Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete kuwakwamua wanyonge
Ugonjwa wa moyo umeendelea kuwa tishio nchini, licha ya jitihada zinazofanywa na Serikali na wadau wa afya kutoa elimu kwa wananchi juu ya namna ya kukabiliana na ugonjwa huo. Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) ni miongoni mwa taasisi…
Wananchi walilia sekondari yao
Wananchi wa Kata ya Makata, wameulaumu uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi kwa kutelekeza mradi wa ujenzi wa Sekondari ya Wasichana Makata ambao ulitakiwa kukamilika miaka mitano iliyopita, JAMHURI limebaini. Kukwama kwa mradi huo kumetokana na kupotea…
Wizi Tanzanite
Madini ya tanzanite yenye thamani ya mabilioni ya shilingi yanadaiwa kutoroshwa kutoka katika mgodi wa TanzaniteOne uliopo Mererani mkoani Manyara. Mgodi huo unamilikiwa kwa ubia na kampuni ya Sky Associates Limited na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO). Wakurugenzi wa…