Category: Kitaifa
Mjane aomba Rais Magufuli amsaidie
Mmoja wa wakurugenzi wastaafu wa idara iliyoshika moyo wa nchi (jina linahifadhiwa) ametajwa kushirikiana na baadhi ya Maofisa katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, kuandaa mpango wa kumpokonya kiwanja mkazi wa Ilala, jijini Dar es Salaam, Habiba…
Mwekezaji: Rais Magufuli nisaidie
Mwekezaji wa Kampuni ya Petrofuel Tanzania Limited, amemwomba Rais John Pombe Magufuli kuingilia kati mgogoro wa kibiashara unaoipotezea Serikali mapato ya wastani wa Sh bilioni 4 kila mwezi kutokana na ubabe wa watu wachache, JAMHURI limeambiwa. Satish Kumar, ambaye ni…
Bilionea amjaribu Magufuli
Tajiri mwenye ukwasi wa kutisha anayeishi jijini Dar es Salaam, anaonekana kuwa wa kwanza kumjaribu Rais John Pombe Magufuli, aliyesema hajaribiwi, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Hali hii imetokana na tajiri huyo kuamua kulitumia Jeshi la Polisi kutekeleza matakwa yake, na…
RIVACU wamlilia Rais Magufuli
Hatima ya Chama cha Ushirika cha Wakulima wa eneo la Bonde la Ufa katika mikoa ya Manyara na Arusha (RIVACU) sasa iko mikononi mwa Rais John Magufuli, baada ya Baraza la Ardhi la Mkoa wa Manyara kuirudisha katika kiwanja cha…
Agundua teknolojia ya kusafisha maji
Je, unajua kwamba Tanzania sasa kuna teknolojia ya kubadilisha majitaka na kuwa maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu? Pengine utabaki umeduwaa, ila jambo hilo sasa linawezekana kutokana na mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandera, kilichoko jijini Arusha,…
Milioni 950/- zawarusha CCM, Rahaco
Milioni 950/- zilizotakiwa kulipwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama fidia ya Kiwanja namba 228, Kitalu K, Mivinjeni Kurasini jijini Dar es Salaam, zimezuiwa kwa takribani mwaka mmoja katika Ofisi ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke kutokana na mgogoro kati ya…