Category: Kitaifa
Wabunge Tarime wajipanga
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mara, Agnes Marwa (CCM), ametangaza kuwapeleka bungeni Dodoma, madiwani wa Halmashauri ya Tarime Mjini katika ziara ya mafunzo. Hatua hiyo imekuja baada ya Mbunge wa Tarime Vijijini (Chadema), John Heche, kutangaza hivi karibuni kuwapeleka…
Magufuli atumbua mapapa wa ‘unga’
Kasi ya Rais John Magufuli ya kutumbua majipu sasa imeanza kuvunja mtandao wa dawa za kulevya (unga) nchini, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Rais Magufuli ametoa maelekezo mahsusi kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga akielekeza kuwa anataka kuiona…
Watuhumiwa mauaji, ujangili watoroka
Mahabusu watatu wa kesi za mauji na ujangili wametoroka katika Kituo cha Polisi Meatu mkoani Simiyu. Polisi mkoani humo imethibitisha kuwapo kwa tukio hilo ;la Februari 19, mwaka huu. Watuhumiwa walitoroka baada ya kutoboa ukuta kwa kutumia ‘kitu chenye ncha…
RC Makalla amaliza kilio Lokolova
Serikali mkoani Kilimanjaro imekabidhi ekari 2,470 kwa Chama cha Ushirika cha Wakulima na Wafugaji Lokolova. Hatua hiyo imefuta mpango wa awali wa Serikali wa kulifanya eneo hilo la ardhi litumike kujenga soko la nafaka la kimataifa na mji wa viwanda….
Trump: Ni maoni yake
Mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump (pichani), amempongeza kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, siku chache baada ya kiongozi huyo wa dini kutilia shaka kuhusu imani yake ya kidini. Papa amesema kuwa pendekezo la Trump la kujenga…
Hatoki mtu mpaka kifo – Rais Mugabe
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, ameamua kuweka pamba masikioni, baada ya kupuuzia wito wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Ki-moon, kwa viongozi wa Afrika kuacha kung’ang’ania madaraka kwa muda mrefu. Hakuna ubishi kwamba kauli hiyo ya Ban…